Awamu ya 2 ya Maonyesho ya Canton yafunguliwa Guangzhou, Kusini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 24, 2023
Awamu ya 2 ya Maonyesho ya Canton yafunguliwa Guangzhou, Kusini mwa China
Bidhaa ya mapambo ya mwanga ikionekana katika picha kwenye awamu ya pili ya Maonyesho ya 134 ya Canton huko Guangzhou, Mkoani Guangdong, Kusini mwa China, Oktoba 23, 2023. (Xinhua/Deng Hua)

Awamu ya pili ya Maonyesho ya 134 ya Uagizaji na Uuzaji nje Bidhaa ya China, ambayo pia yanajulikana kwa jina la Canton Fair, imefunguliwa Mjini Guangzhou, Mkoani Guangdong, Kusini mwa China siku ya Jumatatu na itaendelea hadi Oktoba 27.

Maonyesho hayo ambayo yanachukua jumla ya eneo la maonyesho lenye ukubwa wa mita za mraba 515,000, yanajikita katika bidhaa za nyumbani, zawadi na mapambo, vifaa vya ujenzi na samani.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

又大又粗又爽又黄的少妇_国产欧美日韩亚洲精品区_欧美重口另类在线播放二区_边做饭边被躁在线播放