Huawei yaahidi kuendeleza ujumuishi wa kidijitali nchini Kenya kwa kupitia uvumbuzi wa kiteknolojia

(CRI Online) Oktoba 12, 2023

Kampuni ya mawasiliano ya China, Huawei, imeahidi kuisaidia Kenya kuongeza kasi yake ya ujumuishi wa kidijitali, na kuhakikisha kupanua upatikanaji wa majukwaa na huduma za moja kwa moja mtandaoni kwa kutoa uvumbuzi wa kiteknolojia.

Ofisa Mkuu wa Teknolojia wa Kampuni ya Huawei Kanda ya Kusini mwa Afrika, Tony Li, amesema hayo katika mkutano wa kikanda uliofanyika mjini Nairobi, Kenya. Amesema nchi hiyo tayari imeshuhudia maendeleo dhahiri katika muongo uliopita, kwa kuanza kutumia mitandao ya teknolojia za 4G na 5G.

Amesema teknolojia ni msingi unaoruhusu kila mjasiriamali kufungua biashara, kila mwalimu kufundisha wanafunzi bila kujali sehemu waliko duniani, na kila mwananchi kupata huduma bora za afya.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha

又大又粗又爽又黄的少妇_国产欧美日韩亚洲精品区_欧美重口另类在线播放二区_边做饭边被躁在线播放