…
Kikiwa kinapatikana katika Eneo linalojiendesha la Kabila la Watajik la Taxkorgan, Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China, Kivuko cha Khunjerab ni bandari kuu ya nchi kavu kwenye mpaka wa China na Pakistani, kituo kikuu cha biashara kati ya China na Pakistani, na lango muhimu la kuingia Asia Kusini na Ulaya. Tangu kuanza upya kwa utoaji vibali vya forodha kwa abiria Mwezi Aprili 3, 2023, Kivuko cha Khunjerab kimerekodi abiria zaidi ya 40,000 wanaoingia na kutoka.…
DAR ES SALAAM - Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian, amesema China inatarajia kuendelea kuhimiza ushirikiano wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na Tanzania, ili kwa pamoja kuendeleza mustakabali mzuri wa baadaye wa maendeleo ya kisasa. Balozi Chen ameyasema hayo kwenye mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam, Tanzania, ambapo aliwasilisha taarifa ya matokeo ya Mkutano wa Baraza la Tatu la Ushirikiano wa Kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja uliofanyika Beijing, China uliofanyika Beijing, China wiki iliyopita.…
"Kupika chai kwa stovu" ni mojawapo ya njia maarufu zaidi za kunywa chai katika majira ya mpukutiko na ya baridi nchini China. Waandishi wa habari kutoka nchi za eneo la Eurasia pia wamealikwa kujiunga na shughuli hii.…