人民網首頁

China kuhimiza maendeleo ya ubora wa juu kwa nia thabiti

Rais Xi Jinping na viongozi wengine wa China wakihudhuria kikao cha kufunga Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Mji Mkuu wa China, Machi 13, 2023. (Xinhua/Huang Jingwen)

Rais Xi Jinping asisitiza juhudi za ujenzi wa nchi yenye nguvu na ustawi wa taifa

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping siku ya Jumatatu alipotoa hotuba kwenye kikao cha ufungaji wa mkutano wa kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China alitoa wito wa kuunda nguvu kubwa kwa ajili ya kujenga nchi kubwa ya kijamaa yenye maendeleo ya kisasa na kuendeleza ustawishaji wa Taifa la China wakati mapazia ya "mikutano mikuu miwili" ya kila mwaka ya China yakifungwa, ambayo imefungua ukurasa mpya wa maendeleo ya kisasa ya China kwa kuchagua viongozi wapya wenye uwezo na kupitisha sera mpya katika sekta zote. Rais Xi amesema, “Kuanzia siku hii na kuendelea hadi katikati ya Karne ya 21, kazi kuu ya Chama kizima cha Kikomunisti cha China (CPC) na watu wote wa China itakuwa ni kuijenga China kuwa nchi kubwa ya kijamaa yenye maendeleo ya kisasa kwa pande zote na kuendeleza ustawishaji wa Taifa la China katika sekta zote” .…

Xi Jinping na viongozi wengine wa China wakihudhuria kikao cha kufunga Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Mji Mkuu wa China, Machi 13, 2023. (Xinhua/Huang Jingwen)

Mkutano wa mwaka wa Bunge la Umma la China wafungwa

Xi Jinping na viongozi wengine wa China wakihudhuria kikao cha kufunga Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Mji Mkuu wa China, Machi 13, 2023. (Xinhua/Huang Jingwen) BEIJING - Mkutano wa mwaka wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC), ambalo ni Bunge la Taifa la China umefungwa jana, Jumatatu asubuhi.…

Waziri mkuu aeleza imani kubwa na ukuaji wa uchumi wa China

Waziri mkuu wa China Bw. Li Qiang ameeleza imani kubwa na mustakbali wa uchumi wa China, akisema “utashinda upepo na mawimbi na kuwa wa kutarajiwa.…

Wang Huning, Mjumbe wa Kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC), akihudhuria mkutano wa kwanza wa Kamati ya Kudumu ya Kamati ya 14 ya Kitaifa ya CPPCC hapa Beijing, Machi 12, 2023. (Xinhua/Zhang Ling)

Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China lafanya mkutano wa kamati ya kudumu

Wang Huning, Mjumbe wa Kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Mwenyekiti wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China (CPPCC), akihudhuria mkutano wa kwanza wa Kamati ya Kudumu ya Kamati ya 14 ya Kitaifa ya CPPCC hapa Beijing, Machi 12, 2023. (Xinhua/Zhang Ling) BEIJING - Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC), ambacho ni chombo cha juu cha mashauriano ya kisiasa cha China, Jumapili alasiri ilifanya mkutano wa kamati ya kudumu.…

又大又粗又爽又黄的少妇_国产欧美日韩亚洲精品区_欧美重口另类在线播放二区_边做饭边被躁在线播放